Kulia: Qaid Ilaqa ya Dar es salaam Kushoto: Sadr Majlis Khuddamul Ahmadiyya Tanzania |
Muhtamim Tarbiyyat katika mchakato wa kutoa damu |
Toka Kulia: Qaid Ilaqa, Muhtamim Maal na Muhtamim Khidmat Khalq katika mchakato wa kutoa damu |
Tukio hilo liliambatana na kikao pamoja na uongozi wa Damu
Salama kanda ya Mashariki kilichokuwa na madhumuni ya Kufahamiana zaidi na
kuzijadili changamoto za pande zote katika Masuala yote yahusuyo damu.
Kabla ya zoezi la utoaji damu kuanzishwa rasmi, washiriki waote walipata maelekezo ya mazingira na Kufahamishwa shughuli za idara kadhaa zilizopo hapo.
#KhidmatKhalq @ChangiaDamuTZ #GiveBlood #BelieveInGiving #OkoaMaisha