JavaScriptSDK

Thursday, April 28, 2016

ORODHA YA VITABU VYA MASIH ALIYEAHIDIWA A.S VILIVYOTAFSIRIWA KATIKA LUGHA YA KISWAHILI

ORODHA YA VITABU VYA MASIH ALIYEAHIDIWA A.S VILIVYOTAFSIRIWA KATIKA LUGHA YA KISWAHILI


(i) The philosophy of the teachings of Islam (Hekima ya Mafundisho ya Kiislam).
(ii) Jesus in India (Yesu katika India)
(iii) Noah’s Ark (Safina ya Nuhu)
(iv) Misunderstanding removed (Kuondoa kosa moja)
(v) Al-Wasiyyat (Wasia)
(vi) The Victory of Islam (Ushindi wa Islam)
(vii) Lecture of Ludhiana (Hotuba ya Ludhiana)
(viii) Review on the debate between Batalwi and Chakralwi (Maoni juu ya Mjadala baina ya masheikh wawili)
(ix) Blessings of Prayers (Baraka za dua)
(x) Dafe-ul-balaa (The Antidote) – (Kinga ya balaa)
(xi) Sach-cha-i-ka-Idh-har (Dhihirisho la Ukweli).
(xii) Fountain of Christianity (Chemchem ya Ukristo)
(xiii) A gift to the Queen Victoria (Zawadi kwa Malkia Victoria)
(xiv) The star of Queen Victoria (Nyota ya Malkia Victoria)

ORODHA YA VITABU VYA JAMAAT VILIVYOTAFSIRIWA KATIKA LUGHA YA KISWAHILI
(1) Muslim Prayer Book (pocket -size) – (Kitabu cha sala ya Kiislam)
(2) Prayers of the Holy Qur’an – (Maombi ya Qur’an Tukufu)
(3) Prayers of the Holy Prophet (s.a.w.) – (Maombi ya Mtume saw)
(4) Selections From the Writings of the Promised Messiah (a.s) – (Baadhi ya maandiko ya Masihi Aliyeahidiwa a.s)
(5) Selected Verses of the Holy Qur’an – (Baadhi ya aya za Qur’an Tukufu)
(6) Selected Sayings of the Holy Prophet (saw) – (Baadhi ya Hadithi za Mtume s.a.w)
(7) The Truth About Ahmadiyyat – (Hakika ya Ahmadiyyat)
(8) Forty Sayings of the Holy Prophet – (Hadithi Arobaini za Mtume s.a.w)
(9) The Jamaat With Imam – (Jiunge na Jamaat yenye Imam)
(10) Hadiqatu swalihin (large size) – (Kiunga cha watu wema – kikubwa)
(11) Hadiqatu swalihin (small size) – (Kiunga cha watu wema – kidogo)
(12) The Christian Doctrine of Atonement – (Kafara ya Yesu)
(13) A Book of Pilgrimage – (Kitabu cha Haji)
(14) A Book of Zakat – (Kitabu cha Zaka)
(15) A Book of Tajwiid – (Kitabu cha Tajwidi)
(16) The Seal of the Prophets – By Jamil Rahman Rafique – (Muhuri wa Manabii)
(17) Abraham’s First Born – (Mwana Mkuu wa Ibrahim)
(18) The Seal of the Prophets – By Hazrat Mirza Tahir Ahmad (Mbora wa Manabii)
(19) The Holy Prophet (s.a.w) in the Bible – (Mtume Muhammad s.a.w katika Biblia)
(20) The Promised Son (r.a) – (Mwana Aliyeahidiwa)
(21) The Promised Messiah (a.s) – (Masihi Aliyeahidiwa)
(22) Elementary Teachings of Islam – (Masomo ya Kiislam)
(23) Miracles of the Holy Prophet (s.a.w) – (Miujiza ya Mtume s.a.w)
(24) The Exemplary of the Holy Prophet (s.a.w) – (Mtume s.a.w ni Mfano mwema kwa watu wote)
(25) Invitation To Ahmadiyyat – (Mwito kwa Mfalme Mwislam)
(26) The Objectives – (Mambo)
(27) Debate Between Ahmad Muslim Missionary and Christian Missionary – (Mjadala baina ya Sheikh na Padri)
(28) Words of Wisdom And Purification – (Maneno ya Hekima na utakaso)
(29) Islamic Marriage – (Ndoa ya Kiislam)
(30) Preaching Hints – (Silaha za Mahubiri)
(31) Fasting in the month of Ramadan – (Saumu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani)
(32) Salat (Kitabu cha sala ya Kiislam – kikubwa)
(33) The Shroud of Jesus – (Sanda ya Yesu)
(34) Christianity … The Journey From Facts to Fiction – (Ukristo Safari kutoka hakika kuelekea kwenye ubunifu)
(35) Qadianism is not Ahmadiyyat – (Ukadiani sio Uahmadiyya)
(36) Islam And Freedom of Slaves – (Islam na uhuru wa watumwa)
(37) Islam and other Religions – (Uislam na dini nyingine)
(38) The Correctness of The Translation of The Holy Qur’an – (Uongofu wa Tafsiri ya Qur’an Tukufu)
(39) Where Did Jesus Die? – (Yesu kafia wapi?)
(40) Qa’eda Yassarnal Qur’an – (Yassarnal Qur’an)
(41) Gift of Maulid – (Zawadi ya Maulidi)
(42) Gift to Christians – (Zawadi kwa Wakristo)
(43) Gift of Faith – (Zawadi ya imani)
(44) Life of the Holy Prophet (s.a.w) – (Maisha ya Mtume s.a.w)
(45) Hadhrat Maulawi Nur-ud-Dinra – (Maisha ya Hadhrat Nuruddin)
(46) Love of God (monthly News Paper) – (Mapenzi ya Mungu)

KUMBUKUMBU KATIKA IJTMAA

Hadhrat Mirza Tahir Ahmad r.a akiwa na  Amir wa Jamaat Ahmadiyya Karachi, Pakistan, Bw. Sheikh Rehmatullah Sahib katika Ijtmaa ya Khuddam mwamzoni mwa miaka ya 1960 mjini Malir, jijini Karachi, Nchini Pakistan.


MKA-KANDA YA ZIWA NA MALEZI YA KHUDDAM NA ATFAL

Majlis Khuddamul Ahmadiyya kanda ya Ziwa wameendelea na harakati za kuwalea na kuwapatia elimu Khuddamul Ahmadiyya na Atfal ul Ahmadiyya bila kuwasahau ndugu zao Nasratul Ahmadiyya. Wikiend ya tarehe 16 na 17 mwezi huu darsa ziliendelea makao makuu ya kanda hiyo, jijini Mwanza. Hongereni Kanda ya ziwa! 





Wednesday, April 27, 2016

UJENZI WA MSIKITI MAKAO MAKUU WAZINDULIWA

Amir Sahib na Mbashiri Mkuu wa Jumuiyya ya Waislam wa Ahmadiyya nchini, Maulana Tahir Mahmood Chaudhry, amewaongoza waumini waliohudhuria Sala ya Ijumaa Masjidi Salaam katika maombi kumuomba Allah aubariki ujenzi wa majengo mawili ambayo ni Msikiti na nyumba ya makazI.



SOMA VITABU VYA JAMAAT AHMADIYYA KWA LUGHA YA KISWAHILI, http://www.alislam.org/swahili/







Sunday, April 10, 2016

IJITIMAA YA KHUDDAM NA ATFAL 2016 KUFANYIKA MWEZI MEI

Majlis Khuddamul Ahmadiyya Tanzania inapenda kuwakaribisha wafuasi wa dini zote katika Ijitimaa ya Taifa kwa mwaka huu 2016 itakayofanyika kuanzia tarehe 20-22 mwezi wa Tano katika viwanja vya jamaat Ahmadiyya Kitonga, nje kidogo ya jiji la Dar Es Salaam. Nyote mnakaribishwa!