Majlis Khuddamul Ahmadiyya kanda ya Ziwa wameendelea na harakati za kuwalea na kuwapatia elimu Khuddamul Ahmadiyya na Atfal ul Ahmadiyya bila kuwasahau ndugu zao Nasratul Ahmadiyya. Wikiend ya tarehe 16 na 17 mwezi huu darsa ziliendelea makao makuu ya kanda hiyo, jijini Mwanza. Hongereni Kanda ya ziwa!
No comments:
Post a Comment