Majlis Khuddamul Ahmadiyya Tanzania inapenda kuwakaribisha wafuasi wa dini zote katika Ijitimaa ya Taifa kwa mwaka huu 2016 itakayofanyika kuanzia tarehe 20-22 mwezi wa Tano katika viwanja vya jamaat Ahmadiyya Kitonga, nje kidogo ya jiji la Dar Es Salaam. Nyote mnakaribishwa!
3 comments:
Jazzakallah, tumeipata taarifa hiyo. Allah aifanye Ijtimaa ya khuddam Tz iwe na mafanikio. Amin
Jazzakallah, tumeipata taarifa hiyo. Allah aifanye Ijtimaa ya khuddam Tz iwe na mafanikio. Amin
Jazzakallah kwa taarifa
Post a Comment