JavaScriptSDK

Monday, May 16, 2016

MAANDALIZI YA IJTMAA YAPAMBA MOTO

KUJITOLEA NI HESHIMA!
 Maandalizi ya Ijtmaa ya Khuddamul Ahmadiyya na Atfal ul Ahmadiyya yameendelea kwa kusafisha kiwanja kitakachotumika kwa ajili ya mashindano ya kimichezo na kusafisha eneo linalozunguka Ijtmaa Ghar (eneo ambalo Ijtmaa hiyo itafanyika).

Khuddam wakifanya usafi katika viwanja vya jamaat Kitonga ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Ijitmaa ya Taifa kwa mwaka huu inayotarajiwa kuanza rasmi tar 20 Mei 2016.


Khuddam kutoka maeneo mbalimbali ya jiji la Dar Es Salaam wakiwa katika maandalizi ya mwisho mwisho kuelekea katika Ijtimaa yao ya mwaka huu 2016.

No comments: