"Taifa haliwezi kuimarika pasipo vijana kuwa imara"- Khalifatul Masih II (RA) -1938
JavaScriptSDK
Monday, May 16, 2016
MALEZI! MALEZI! MALEZI!
Darsa la Atfa na Nasrat limeendelea wikiendi hii katika viunga vya kitonga nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, katika hali ya kuimarisha malezi ya vijana wetu.
Sehemu ya wanafunzi wa Darsa la Atfal na Nasratul Ahmadiyya likiendelea katika viwanja vya Jamaat Ahmadiyya, Kitonga Dar.
Atfalul Ahmadiyya wakiwa katika darasa lao la kila wikendi katika Viunga vya Jamaat Ahmadiyya, Kitonga.
No comments:
Post a Comment